National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
tumia vaseline nzito ya maji na nazi hutojutia 😅😅niko na P bebi wangu😅
tumia vaseline nzito ya maji na nazi hutojutia 😅😅niko na P bebi wangu😅
😅😅😅 asubiri kesho tuuu.. tumalize yetuuSaa 5 kasoro za usiku 🤸♂️
😂😂😂Tuachena huko mlivyo wachawi
Bado mapema sanaaaSaa 5 kasoro za usiku 🤸♂️
sina hamu na nyie, next week nakuja huko😂😂😂Tuache
Kesho simba day ujue nawakaribisha sikukuu 😂😂kutakuwa na pilauusingizi wa nini mapema hivi kesho jumapili bana😅
🥴🥴🥴🥴 acha tufanye yetu kesho.. umegoma kututoa kwanza.. gari nilijaza full twende hadi bagamoyo kwenye miseleBado mapema sanaaa
Kesho inshallah Sina mbambamba😂😂😂uliweke hapa tule kwa macho😂
😆🤣😂🔥🔥🔥🔥Naweka mazingira yakutoshtukiwa siku nikimbadilisha!!🙈🙈🙈🙈
Yani aunt kuroga Liwe suala la kusemana kweli 😀😀na huko mlivyo wachawi
😅😅 kuna siku wali roga hadi gari.. ikashindwa waka wakati ilikuwa nzimaaa 😅😅Yani aunt kuroga Liwe suala la kusemana kweli 😀😀
Kwanini mlitunyima lift Sasa 😂😂😂😅😅 kuna siku wali roga hadi gari.. ikashindwa waka wakati ilikuwa nzimaaa 😅😅
kwani mliweka mafuta 😅😅Kwanini mlitunyima lift Sasa 😂😂😂
Na sisi barabara ni yetu 😀😀😀kwani mliweka mafuta 😅😅
basi kila mtu ashinde mechi zake 😅😅😅Na sisi barabara ni yetu 😀😀😀
Ndio hivo Yan kilamtu Apambane awezavyo 😀😀basi kila mtu ashinde mechi zake 😅😅😅