Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,298
- 21,633
Nibless na liselfie moja basi
Nibless na liselfie moja basi
Selfie ya dagaa nyasaš,Nibless na liselfie moja basi
NimefuuuuuNibless na liselfie moja basi
Ulipost saa ngapi na nlikuwa nimekodoa macho kodo.Nimefuuuuu
Usimkize anakudanganya, mi mabovu napigwa na vumbi tu hapa Congo š¹š¹š¹Aloooooh! Ntamwambia show me your ways master! Igweeee š¤£
Maji ya mwisho.
Wallah.Ulipost saa ngapi na nlikuwa nimekodoa macho kodo.
Do the needful, siunajua furaha yangu nikuona maua mazuri.Wallah.
Mshahara tayari au upo bize kwenye Uzi wa mshahara,,,Do the needful, siunajua furaha yangu nikuona maua mazuri.
Bado, ndio maana nimeomba kaselfie nijiliwaze. Angalia namna ma mtu.Mshahara tayari au upo bize kwenye Uzi wa mshahara,,,
Kwahiyo hatuli urojoš„Bado, ndio maana nimeomba kaselfie nijiliwaze. Angalia namna ma mtu.
Nimeibahatisha kipenzi, kifua saa sita, hips za kuchana suruali kabisaa. Unataka ukale wapi urojo my sweet pieKwahiyo hatuli urojoš„
Nimecheka Hadi kuliaš,usiwe hivyo bhana.Nimeibahatisha kipenzi, kifua saa sita, hips za kuchana suruali kabisaa. Unataka ukale wapi urojo my sweet pie
Napenda sana hizi viewšSun š set view View attachment 3675804View attachment 3675805View attachment 3675806View attachment 3675807lake nyasa
Umeona ofisi yanguNapenda sana hizi viewš
Nimeona naomba kibaruašUmeona ofisi yangu
Unaweza kupiga kasiaNimeona naomba kibaruaš