Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ile comments nimeipenda aiseee πŸ˜„πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ she must be eating them like tiger nuts Dr Lizzy πŸ˜„πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
🀣🀣🀣🀣🀣

Jamani mie ni good girl πŸ’― !!!!πŸ™ˆπŸ™ˆ

Sema unajuaga kuna ile mmeanza tu mara ghafla mmebwagana....sasa ili kuwanyima kina hivi yule mshkaji wako/wake siku hizi vipi β€Šcontent nakua natupia pia za kijanja walau miezi 6 ifike!πŸ˜πŸ˜Άβ€πŸŒ«οΈ
 
Hahahaaaaa janja sana wewee πŸ˜„πŸ˜‚πŸ€£ ndio maana hata dogo janja yule naonaga anatupia sana pigo za kijanja mama yake anajua πŸ˜„
 
Ni kaujanja tu kamenijia ghafla maana mwaka juzi kuna mtu nilim-date kidogo basi maswali yalivyofuata sasa.....mpaka mwaka huu naulizwa!!!!πŸ™„πŸ˜’πŸ˜
 
Na huyu mimi nimeshamkariri hicho kiwiko ukifanya mambo yako tu naanza kukuhesabia πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜‚πŸ€£
 
Usikue hivyo basi!!!πŸ˜³πŸ™„πŸ˜ŸπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Utafanya nipige kiwiko chake picha nyingi alafu niwe nazitupia mdogo mdogo!!πŸ«£πŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Duh aiseee unajua kupanchuaaa wewee πŸ€£πŸ˜† hamna bhana nakutania tu hahahahaaaa
 
Dah kweli aisee mda mwingine nafurahia sana haya mauza uza yangu πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜† na nikiwa na ninao fanana nao kama hapa nilipo basi ni kucheka tu kama mazombiee πŸ€£πŸ˜‚
😁😁😁

Ni muhimu sana aiseee!!!πŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎ
Ukiwa na mjinga mwenzio hata stress za maisha huwa zinasahaulika kidogo kwa muda!!😊
 
Back
Top Bottom