Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiku mwema wapendwa mrare unonooo!!
Mmh na ww pia auntiee mzuri 💐💐😘🤗🤗🤗🤗🤗🤗

Ulale kama mtoto mdogo malaika wa ulinzi akulinde

Huna baya lala na uzuri wako kesho nayo ni siku ukamuabudu Mwenyezi Mungu aliyekuumba ukawa mzuri hivyo.

Unangaa kama dhahabu. Malkia wa sheba kweli kweli.

Sleep well auntiee 😴😴😴😴😴
 
Shukrani sana ankoo 💤💤😴💤😴💤💤😴😴😴💤💤
 
Usijareee kabesa mnywanii Likizo Kam kauwaaaaa 😁😁🤠🤠!
Ntakitupia tukarukee majoka nione mnywanii akee unavobambia maduu 😁😁🤠!!
Hahaha! Nimecheka Kama nini.
Na ni muda ujue sijabambia sikuhizi najikuta natikisa kichwaa

Ila Kuna mizigo si ya kuitikisia kichwaa Yani ule wa mbantu Bantu Lady unaanzaje anzaje kwa mfano ku_utikikisia kichwa tu na kwa dj uko ndo unasikia funga mageti ya Chino Wana man
 
Mikono ya mkandaji hapana kwa kweli😂😂😂😂 hao wenye mikono ya hivyo ndio wanasugua kiharage km anataka kuwasha moto, afu wabishi hawapendi kuambiwa ukweli
🤣🤣🤣🤣🤣shem nitakuchapa
Umekunywa nini leo?
 
Back
Top Bottom