Yessir mkuu.I feel you.Nakubali mkuu
Hio ni kichuga chalyangu 🤣! Nielekele mbajowise. Ni gudi???Mkuu hiyo lugha ya wapigania Uhuru nini 😂🤣😁
🫣🫣🫣🫣🫣🫣Ms eyes I love you, ila nikipata 3some ita pendeza😂😁🤣
TOD Nina lundo la fimboo hapa mkianza zoezi nawapa bureee kabesaaa 😂!kina nani hao na walikufanya nini??? Hebu niambie tuwachape
😅😅😅 tumuombe mpenzi wake, amuombe atuwekeee.. bila hivyo ngumu kurudiaLol imenipita sijaiona hioo mwambie arudie mjombaa!
Tulicheleweshwa sana Cazewise. 🤣 Lelo nama mzukazu shaziii. Nivije mamnyo?Cazee umekuja kujipakulia minyama![]()
🤣🤣🤣 Muda utaongea tu. 😆😆😆😆.kina nani hao na walikufanya nini??? Hebu niambie tuwachape
Asante mremboAfadhali nimekuona, afadhali tumeonana. Nilikaa kinyonge sana tajiri😂😂
Hapana anatakiwa atume kwako akituma kwangu lazima nidokoeKabisaa alete mshiko huo chap niufanyie mafekeche
Shosti atume kwako uniletee
hakuna mmbabe wa jumla.. ataotewa apasuliwe.. nae😅😅😅😅Huyo hayumo, namaanisha ulio weza kuwa tuliza😂😁🤣.
👉Dah Siri sio Siri kijana😂, wahurumie😁
Angalizo:Popote kambi mwendo ni ku**mbanisha mijusi.View attachment 2709272
Gud gud bro😁Hio ni kichuga chalyangu 🤣! Nielekele mbajowise. Ni gudi???
🤣🤣🤣🤣 Na wanavyopenda fimbo sasa.Nina lundo la fimboo hapa mkianza zoezi nawapa bureee kabesaaa 😂!
I miss you sweet darling boss ladyNakaziaaaaaaaaaaaaaaa!! 😊
Penseli 4 asha wahi pasuliwa na Jamaa. Aka surrender 😂😁🤣hakuna mmbabe wa jumla.. ataotewa apasuliwe.. nae😅😅😅😅
Anze kwa muamala halafu mengine tutafuataHivi maua kweli wewe wa kuniuza mimi born town mwenzio?!!! Hebu anipeleke Sanya juu nikalishe Twiga majani kwanza, ndio tuanze kujipanga na safari ya Dubs
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 fimboo kama fimbo🤠🤠🤠!🤣🤣🤣🤣 Na wanavyopenda fimbo sasa.
Utasema wamewekewa pilipili kisimani. Huko 😆😆
Ofsa tuna familia changa utatuua kwa pressure .Unatumia maneno magumu mnooo😄😄😄 lainisha kidogo😄😄Angalizo:
Gharama za kufanya Dialysis bei imesimamia 480,000 now 🤣🤣🤣