3 some ya maisha yangu, msosi na wewe😂🤣😁Shindwaaa!
Kanikimbia
Naona mtaalamu wa kuwalipua maadui, Ume fika😂😁Alafu kumbe Ms eyes unakiuno nyigu 🤔🤔🤔🤔.
Eeeeh nimejua leo. Hongera ukifikisha 26 utakuwa bien kabisa.
.
👍👍👍👌
Sasa hashindwi kunikataa mbele za watu🚮Jeuri aitoe wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jukwaani anavimba chobingo kimya
Huna tofauti na mganga wa kienyeji🤣😂😁Jeuri aitoe wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jukwaani anavimba chobingo kimya
TNT Gomz
Tē amo🤗Sasa hashindwi kunikataa mbele za watu🚮
Oyaaa acha pigo za kiwaki[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji23]
Mi mbona maadui zangu wanajulikana mkuu.Naona mtaalamu wa kuwalipua maadui, Ume fika😂😁
Toka hapa. Leo navimbaTē amo🤗
Huna tofauti na mganga wa kienyeji[emoji1787][emoji23][emoji16]
Huo msosi uko wapi??Sijaanza kula bado
Hahahaha karibu sana mremboKm kawaida yako mzee wa vitu vya kuchoma figo na ini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuitane basi
Mi mbona maadui zangu wanajulikana mkuu.
Na ms eyes hayupo. Anyway leo sijisikii kumchokoza mtu. [emoji28][emoji28][emoji28]
Huwa naonaga vibe lenuuu yani hamboi wala kupoaaa😍[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenyewe ananikosha!!! Sasa tukutane maua, coca na bichwa komwe humu ndani patakua hapatoshi aiseeeee
Cute Wife una ona🤔, kila sikubuna niita mi mkorofi.Toka hapa. Leo navimba