Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wuuuuhHapana aiseeee niko busy na swala lako😆😆😆View attachment 2708862
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wuuuuhHapana aiseeee niko busy na swala lako😆😆😆View attachment 2708862
😝😝 nimejaaa
hahahaNi kweli nilipotoa ile post Mwachiluwi na mshamba_hachekwi nani nimchague mbona ulishadadia je ningekuwa serious na huo uzi kuwa ni wewe na huyo ndio nilikuwa nawataka halafu nikute unamlilia huyo mdada ningejisikiaje hata wewe hujatulia wote mlikuwa hamjatulia ulikuwa unamtaka kila mtu wewe ni bendera upepo. Ukitaka usifanyiwe ubaya usiwafanyie wenzako upo na mtu bado kila mdada humu unamuita babe wewe ndio unapenda kuwa free ila sio mwenzio
huko zinapokaguliwa ni zanzibar😅😀😀😀 legal wapiiiii
Mbona Makonda alizipigaga spana mwaka ule
🥴🥴🥴🥴🥴 mambo yenu ya pm yepi tena hayo nyie vijana.. mbona mnatu changanyaFifi? Oyi mshamba sitaki pigo hizo so convo zetu za pm unasimulia?![]()
😅😅😅 ni vipapi mwanzo mwishoNa imagine unavyo waroga wakurugenzi 😂🤣😁.
ndio naamkaWapi pana kick saa hz
😅😅😅😅kimanukaa.. hapa sio salama tena..Siri zina vuja😂🤣🤣 mshamba_hachekwi na National Anthem
ukiwasiliana na mie tu, umeisha jiunga automatic tuna ku monitor tu, na ukiwa mbishi nakutoa kafaraSikutaki siwataki
weekend si uje home tushinde shinde kijanaaa wanguEmbu tulia na wewe🤣
Hujui leo weekend
vimeumanaaa mapemaaa sana.. acha niwapishe vijanaUnajiona kama nakutaka najipendekeza mie sikutaki nilini nimekupm sema tu . So huu ndio mwisho staki mazoea usinizoee sitaki ureply message siongei na vilaza
Acha niendelee kuona maajabu 😂🤣😂😁😅😅😅😅kimanukaa.. hapa sio salama tena..
Ko dhahabu ziko wapi😂🤣😁Njoo tuangalie SISU 😂😂
Hata mm ndio naamka,njoo break point ,kinondoni tupate supundio naamka
Ko mkuu uli unganisha party juu ya party😁🤒Hata mm ndio naamka,njoo break point ,kinondoni tupate supu
We acha tu , kazi na dawaKo mkuu uli unganisha party juu ya party😁🤒
Sema mwende kwa tahadhari, Kuna Jamaa Jana kasahau kwake😂😁We acha tu , kazi na dawa
Mie hata nilewe vp sisahau kwanguSema mwende kwa tahadhari, Kuna Jamaa Jana kasahau kwake😂😁
Lenie nakufa kwa kicheko😂😁🤣, mshamba_hachekwi unge tuliza Shari😂🤣😁Hupendi kwa maana yamekushinda nani akutake wewe unayemtegemea shemeji Yako umekuja arusha unataka guest za elfu tatu , mie sio ligi yako kijana huniwezi kwa sabuni au lotion hujawahi niona wala kunijua wala sitakagi mie viwatu vya huku mmkekomaa kama ungo za wachawi, hamna hela mkijenga nyumba mmoja mnazima mazima , wewe nikama kakitu ambacho hujai mkononi, ila unatamba mie nakufundisha uache unafiki , halafu jingine eti unawaka unamuwakia nani, umewahi niona najikomba kwako mie hapana. Hujui kwanini ngoja utajua tu ipo siku , eti hupendi mAmbi yanayoendelea hapa kwani wewe ndio mwenye hii app acha kujishaua umetukuta na hujui tunaishije mazoea na mimi sipendagi mabaunsa kwenye shughuli zeroo ndio maana unapanda boda boda . Usinizoee na unikome kama ulivyokoma vyote ulipo kuwa mdogo mie sio ndugu yako wala shangazi yako , wala mie sio rafiki yako , pelekea hasira zako ulipochunwa vimiamia vyako ipo siku humu mtaelewa mie mtu wa namba gani siwezi date na visiki mie umetukuta cheza kwa step shuwain , unamikosi na mabalaa nani akuhesabie honey acha uchizi njoo kwenye reality hakuna ambaye atakutaka hujajipanga ujue hilo post zako zinaonyesha wewe nikilaza