Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Sio kila mtu mkorofi sema nin samahani yaisheUnataka za live ungesema ulipokuwa arusha nikulete mAchali wa Ar wakuonyeshe shari siye tunatembea na visu
Sio kila mtu mkorofi sema nin samahani yaisheUnataka za live ungesema ulipokuwa arusha nikulete mAchali wa Ar wakuonyeshe shari siye tunatembea na visu
Unajiona kama nakutaka najipendekeza mie sikutaki nilini nimekupm sema tu . So huu ndio mwisho staki mazoea usinizoee sitaki ureply message siongei na vilazaSawa mimi kilaza ukilaza wangu umekuathiri nini?
Kupanda bodaboda ni dhambi?
Ningekuwa nazitaka izo gest za 10k ningezipata hila sikuamua kuzitafuta
Sawa nakaa kwashemeji kuna shida?
Tumekutana hapa jf tujuane kijf ivyo ivyo my dear jifunze ustaarabu na kufupisha mambo nimekuambia ukweli kuwa sipendi kitu fulani umekuja na Insha hapa jukwaani ya nini jibu lilikuwa simple sana
Vizuri unikome sipendi kuburuzwa na vijana kamawewe huna heshima nawanawakeSio kila mtu mkorofi sema nin samahani yaishe
Nipoa tu mwayaDepal namna gani humu ndani😆
Punguza hasira mama, ndio kwanza asubuhi. Sio sahihi kugombanaNipoa tu mwaya
Siye tunamtaniaga mwachiluwi sasa jana hayo matani akadhania kweli hadi akanitusi sasa hanijui hajawahi niona so matusi yanini?? Unamtukana usiyemjua ili uprove nini?? Sijui mpumbavu eti wewe mwanaume mzima unamwita mwanadada wawatu mpumbavu kweli kusa nini??Depal namna gani humu ndani😆
Ni hasira tu zile, usijibu kitu ugomvi uishe tu, na kwanini mgombane kwenye kitu kdogo hivoSiye tunamtaniaga mwachiluwi sasa jana hayo matani akadhania kweli hadi akanitusi sasa hanijui hajawahi niona so matusi yanini?? Unamtukana usiyemjua ili uprove nini?? Sijui mpumbavu eti wewe mwanaume mzima unamwita mwanadada wawatu mpumbavu kweli kusa nini??
Mbna nimekataa utani uhooSiye tunamtaniaga mwachiluwi sasa jana hayo matani akadhania kweli hadi akanitusi sasa hanijui hajawahi niona so matusi yanini?? Unamtukana usiyemjua ili uprove nini?? Sijui mpumbavu eti wewe mwanaume mzima unamwita mwanadada wawatu mpumbavu kweli kusa nini??
Kama hakutaki njoo kwanguNi kweli nilipotoa ile post Mwachiluwi na mshamba_hachekwi nani nimchague mbona ulishadadia je ningekuwa serious na huo uzi kuwa ni wewe na huyo ndio nilikuwa nawataka halafu nikute unamlilia huyo mdada ningejisikiaje hata wewe hujatulia wote mlikuwa hamjatulia ulikuwa unamtaka kila mtu wewe ni bendera upepo. Ukitaka usifanyiwe ubaya usiwafanyie wenzako upo na mtu bado kila mdada humu unamuita babe wewe ndio unapenda kuwa free ila sio mwenzio
Dah wapi nimekuvunjia heshimaVizuri unikome sipendi kuburuzwa na vijana kamawewe huna heshima nawanawake
Punguza munkari chiefMbna nimekataa utani uhoo
Mwachiluwi nakuomba acha ku respond mkuu wangu stay quiet and calm bro pleaseDah wapi nimekuvunjia heshima
Hapana aiseeee niko busy na swala lako😆😆😆Njoo tuangalie SISU 😂😂
Sijawai kufikiria ivyo isipokuwa naona mnavuka mipaka ndio maana nimeongea ssijawai date na mtu hapa kama nngedate bas mngejua itoshe kusema samahani nilpo kukwaza ila sipend unafikiUnajiona kama nakutaka najipendekeza mie sikutaki nilini nimekupm sema tu . So huu ndio mwisho staki mazoea usinizoee sitaki ureply message siongei na vilaza
Embu tulia na wewe🤣Mwachiluwi nakuomba acha ku respond mkuu wangu stay quiet and calm bro please
Uchochezi huo🤣🤣Embu tulia na wewe🤣
Hujui leo weekend
Kuna vitu mtu anafanya kusudi kwa unafiki uh mzozo umenza jana mum kupost nyimbo ndio wakaamishia kwangu najitahid kuwaepuka ila wanazidi vichwa bora umwambie mtu ukweli kuwa upendi kitu fulani wanafanya sijui kwa lengo lippiMwachiluwi nakuomba acha ku respond mkuu wangu stay quiet and calm bro please
Mtu unakaushaa bad wanakupanda kichwani asePunguza munkari chief
Mchit chat jamani
Msiwejibizane hivyo mnanufaisha watu
Leteni amani