Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni kweli nilipotoa ile post Mwachiluwi na mshamba_hachekwi nani nimchague mbona ulishadadia je ningekuwa serious na huo uzi kuwa ni wewe na huyo ndio nilikuwa nawataka halafu nikute unamlilia huyo mdada ningejisikiaje hata wewe hujatulia wote mlikuwa hamjatulia ulikuwa unamtaka kila mtu wewe ni bendera upepo. Ukitaka usifanyiwe ubaya usiwafanyie wenzako upo na mtu bado kila mdada humu unamuita babe wewe ndio unapenda kuwa free ila sio mwenzio
Bora mi Niko single na 😂🤣🤒
 
Eti msikie hizo kimzimu eti kinanijia juu eti nikome sipendi mambo yanayoendelea hapa , nikuulize kama kaibiwa demu sinikwamba hakajiwezi sasa nani anataka masazo kwanza kanalishwa na shemeji, pili hakajielewi , tatu anadate na watu mitandaoni jamani tumfungulie jalada la wagonjwa hebu watu wajue basi type zangu.?? Hana hata gari 1 sasa unampeleka wapi?? Sura mbay vile. Mie nataka vifaa vichwa , hizo meli sio vitreni vya tazara viinavyozima aigh
Sijui kwanini kawa hivyo😂🤣, maana toka Jana ana wakasirikia watu😂😁.
👉 Ali Anza kwa National Anthem akaja na kwangu🤣😂.
👉Sema kumbe mapenzi ni Kama sumu 😂😁 alisikika mshamba_hachekwi 😂🤣😁
 
Back
Top Bottom