Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,318
- 95,686
Ndio kwanza napiga hesabu za kuhama kiwanja, yule wa wavuvi kemp ,sijui yuko wapiMkubwa haulali🤔
Ndio kwanza napiga hesabu za kuhama kiwanja, yule wa wavuvi kemp ,sijui yuko wapiMkubwa haulali🤔
Mkuubtupostie hata vocha Sasa 😁Ndio kwanza napiga hesabu za kuhama kiwanja, yule wa wavuvi kemp ,sijui yuko wapi
Ndio kwanza napiga hesabu za kuhama kiwanja, yule wa wavuvi kemp ,sijui yuko wapiMkubwa haulali🤔
Sasa we vocha inakusaidia nn,zaidi ya kukutia stress tu za kuchat ,kama hvMkuubtupostie hata vocha Sasa 😁
Stress zipi??Sasa we vocha inakusaidia nn,zaidi ya kukutia stress tu za kuchat ,kama hv
Sasa we buku mbili ya nn mtoto wa kiume,tena vocha,serious ?Stress zipi??
Mkuu,tuongee ishu serious sio buku 2 za vocha banaStress zipi??
Vocha namaanisha menu, SI ume sema uko wavuvi Kemp🙄🤔Sasa we buku mbili ya nn mtoto wa kiume,tena vocha,serious ?
Mkuu Nina gb za mwezi,hii message Ume Tafuta attention au🤔🤒Sasa we buku mbili ya nn mtoto wa kiume,tena vocha,serious ?
Wewe ni mzigo kwa taifaBroker nipo hapa😂🤣😁
Jamani ulikuwa shahidi kwani hujuiSiri zina vuja😂🤣🤣 mshamba_hachekwi na National Anthem
Una taka niwe lift😂🤣😁Wewe ni mzigo kwa taifa
We kavu Sana😂😁Jamani ulikuwa shahidi kwani hujui
Ooh hapo sawa mie na uzee huu ,hz lugha zenu sizijui,mkuu ,nisamehe kwa hili na futa ile kauli, sorry ndugu yanguVocha namaanisha menu, SI ume sema uko wavuvi Kemp🙄🤔
Dah,nilikua sijaelewa ,aisee naomba msamaha,tena msamaha mara 3,sikua nimeelewa,dah, sorry sana,kakaMkuu Nina gb za mwezi,hii message Ume Tafuta attention au🤔🤒
Tuko macho tunaselfikaMnalala sana au mnafanya mapenzi
Haya mpatapa GONO,U.T.I KASWENDE
Naomba usinizoee kijiinga sipendi mzaaMie nimemuacha babe wangu njoo mwakani mshamba_hachekwi nilidhani Mwachiluwi alikuwa single kumbe alidate na Dahan mie nimeuzika sana hukuwa mkweli nikakupambanisha kumbe jitu lipo kwingine nimefurahi umetemwa mnafiki tu
Punguza kunijua unifahamu pammbana na yannayo kuhusu achana nna mimiMie nimemuacha babe wangu njoo mwakani mshamba_hachekwi nilidhani Mwachiluwi alikuwa single kumbe alidate na Dahan mie nimeuzika sana hukuwa mkweli nikakupambanisha kumbe jitu lipo kwingine nimefurahi umetemwa mnafiki tu