Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wakakeshe na kuombaa sanaa, cocoa butter ziwe new version, kikubwa wakumbuke ugoko na vidole havichubuki, mbagala rangi 3 itawahusuu.

Wachanganye na jik hawatoboi ng’oo watabaki na rangi zao mbovu zimesinzia km kuku wa kideli
 
Weee wee weeeeeeeeweeeeeeeee
Wanaume wanawakataa live lkn wanakaza mafuvu

Watu wabishi km shipa!!!! Kwnn hawatulii na mikosi yao ya mbwa?!!!! Mtu upo jf hata kauzi ka bwana kakuelewa huna?!! Yaani had bibi faiza ana uzi wa kupendwa!!! Wakaoge mtoni wana gunduuu
baelezeeeeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom