Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee usinambie mnywanii [emoji16][emoji16][emoji23]! Nyakiboo kuna wazee wa kamati mkivamia mjipange haswaa mnaeza pelekwa Burundi bila nyie kujijua mnywanii Takriiiiiiirrrrrrrrrr! [emoji1783]
Nimekumic shogileee wa ukweeee, mie nawee 4reverrrrrrrr!!! [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
 
Shem Mjep ahsante kwa lile livoucher, huna baya tajiri [emoji4][emoji4][emoji4]
Piem leo imependeza mpk imependeza tena

cocastic nimekupa hata mia usitoe
@Mjep
Na mie natakaa vochaa kubwaa, sikubaliiii nitambishiwe hiviii, yaan ufanyee utume mara 2 yakee.

Nasubirii hivyooo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kanipa na nimemwambia asitoe mahari uende tu ukaulilie kwa raha zako mdogo angu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si umuambie, anitumiee na miee
 
@Mjep
Na mie natakaa vochaa kubwaa, sikubaliiii nitambishiwe hiviii, yaan ufanyee utume mara 2 yakee.

Nasubirii hivyooo. [emoji23][emoji23][emoji23]

Khaaaaaaa!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo vocha pamoja na mahari yako kaunganisha
 
Khaaaaaaa!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo vocha pamoja na mahari yako kaunganisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikaulilie mie, vocha ule wewee?
Tutaenda kusaidiana uduguuu, khaaaah.

Hebu muambie afanyee kunipaa na miee eboooh
 
Back
Top Bottom