Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yani Nilitaka kuumwa kwa kukumis walaiii santooo kwakujaa🕺🕺🕺
Saivi nipo nipo ☺️☺️☺️.

Mi nilidhani unaumwa labda iliniuma sana kutokukuona 😞😞😞😞 last week.

Anyway I'm happy now upo.

🤗😀
 
Jamanii, naomba mwenye site ya ku downloads music na video, anitumie links, km vidmate, snaptube, au km kuna inginee bas anitumie links hata inbox
 
Saivi nipo nipo ☺️☺️☺️.

Mi nilidhani unaumwa labda iliniuma sana kutokukuona 😞😞😞😞 last week.

Anyway I'm happy now upo.

🤗😀
That's good uduguuu 🤠🤠🤠!! Nilikua nimetingwa kidogo ila am baaackkk🕺 !!
 
Back
Top Bottom