Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwanasheria nipo makini siwezi waangushaaa!
Uzuri babu hanaga mbambambaa kabesaaa uduguuu!![emoji16]!
Kwanza ngoja aselfike vizuri uone hio misulii aloooooo[emoji2960]!!

Babu anataka kuleta janja janja za nyani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Babu anataka kuleta janja janja za nyani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Babu hana janja janja kabesaaa uduguuu 🤠 yuko bize na kilimo chake hana tabuu kabesaaa 😂😂😁!!
Likizo ni kwenda kumsaidia kuvuna na kunywa maziwa tyuuuu uduguuu🤠😊😁!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti lawyer khakhakhaaaa babu mkulima tu uduguuu!!
Siku atupie casual wear atubless tumuone vizuriiii[emoji16][emoji16][emoji16]!
kwako Grahams [emoji1783]

Babu kanyuka suti sio shida zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Babu hana janja janja kabesaaa uduguuu [emoji1783] yuko bize na kilimo chake hana tabuu kabesaaa [emoji23][emoji23][emoji16]!!
Likizo ni kwenda kumsaidia kuvuna na kunywa maziwa tyuuuu uduguuu[emoji1783][emoji4][emoji16]!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] km analima amchukue Missy Gf mimi na kilimo hapana aiseeee
 
Back
Top Bottom