Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Emoji kubwaa sana hio babuu ipunguze utubles wajukuu zakoo trena!
Helloowww Granpah!
Hello Mjukuu 👋

Hivi ulimfata Mjeshi nini Sudan, sijakuona kitambo sana kwa kweli? 🤪

Usijali Mjukuu, kesho mapema nitaweka naked
 
Wale mabinti wameshindikana, wanakunywa Wine za 180,000 alafu kule Jikoni waliagiza Mbuzi mzima

Walifanya nitembee kwa miguu hadi Bonyokwa [emoji2957][emoji119]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole sana ndio watoto wa mama saa100 hao babu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna spray wanajipulizia kukata pombe
Nilikuwa sijui kwa kweli

Alafu nilijidai mjanja nikatenga pembeni laki 3 ya vyombo, lakini huwezi amini nilienda mwenye Mlimani City kufata hela zingine 🤪🙌
 
Nilikuwa sijui kwa kweli

Alafu nilijidai mjanja nikatenga pembeni laki 3 ya vyombo, lakini huwezi amini nilienda mwenye Mlimani City kufata hela zingine [emoji2957][emoji119]

Pole hao dragon wa kuwa nao makini sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom