mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
babu shkamoo😅
babu shkamoo😅
Marahaba Mjukuu, habari za siku tele?babu shkamoo😅
huyo Cute Wife ameshindikana atakufilisi😂Marahaba Mjukuu, habari za siku tele?
Umemuona last born wangu? Wale watoto wangu 15 huyo ndiyo kitinda mimba 😜
Hahaha.....................zilitoka Juzi, ila kuna Kijana aliniambia twende nazo Kitambaa cheupe tukale maisha, huwezi amini mabinti wa mule hawana huruma kabisa kwa Wazee.
Wamezimaliza zote [emoji2957][emoji119]
Hahaha..................huyo amesema asije kuniua kwa uzee wangu wa miaka 78 [emoji28]
Uzee upo wapi hapa mbona unafaa kabisa kulumangiwa kwa chumvi na vipilipili
akishatuma nauli unamblock😂Tulia wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wale mabinti wameshindikana, wanakunywa Wine za 180,000 alafu kule Jikoni waliagiza Mbuzi mzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulikutana na ma dragon
akishatuma nauli unamblock[emoji23]
Lakini ukubali kukopwa hadi Mwakani pension ikitoka tena 🤪🤭Hapana babu nitakupeleka polepole [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo ni last born wangu, Baba yake nina 78 sasa 🤪Uzee upo wapi hapa mbona unafaa kabisa kulumangiwa kwa chumvi na vipilipili
Nakupenda wewe na huyo lastborn wakoHuyo ni last born wangu, Baba yake nina 78 sasa 🤪
Huogopi kuona Mvi za Wazee 🤪🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Nakupenda wewe na huyo lastborn wako
Nzuri hizo balaa 😙😙Huogopi kuona Mvi za Wazee 🤪🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Koh koh koh ..........🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Nzuri hizo balaa 😙😙
Emoji kubwaa sana hio babuu ipunguze utubles wajukuu zakoo trena!
Giza lishaingia huku, kesho mapema nawekana wewe weka😋