National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Mie mzimaaa kabisaa shangazi mrembo mzuri.. Nimefurahi kukuona shangazi yangu... ,mie mzima kabisaa.. waendeleaje na hali yakoNipo Ankol habari zawewe. Uko poa?
Mie mzimaaa kabisaa shangazi mrembo mzuri.. Nimefurahi kukuona shangazi yangu... ,mie mzima kabisaa.. waendeleaje na hali yakoNipo Ankol habari zawewe. Uko poa?
Mrembo wangu mambo tu ya hapa na pale. But nipo kipenzi Tonniah 😍😍😍Mtrotro mkaree Bantu Lady pia yupo mjombaa atakua ametingwa kidogo ila I hope yupo njema kabisa!?/
Kwakua nimekuona upo vyema shangazi yangu mzuri pamoja na Antonnia .. sasa naweza kwenda kwa amani kula bata zangu.. Nime wa miss tayari in advanceMrembo wangu mambo tu ya hapa na pale. But nipo kipenzi Tonniah 😍😍😍
Asante sana Ankol, ni furaha yetu pia u mzima. Tunamshukuru Mungu, nimefurahi kukuona pia Ankol wetu mwenyewe huna baya 😍😍😍Kwakua nimekuona upo vyema shangazi yangu mzuri pamoja na Antonnia .. sasa naweza kwenda kwa amani kula bata zangu.. Nime wa miss tayari in advance
njoo sasa kwanza, ulione dekio
Nafurahi kukuona kipenziiiii mjomba alikua anakuulizia !Mrembo wangu mambo tu ya hapa na pale. But nipo kipenzi Tonniah 😍😍😍
Li dekio ndio linini tena udugu lol??? 🤠🤠🤠Liselfishe hapa wadau wanishauri km liko vyedi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
na wewe weka😋Sun kissed 🥰
Li dekio ndio linini tena udugu lol??? [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Weee!! Mwamba bado hajanibwaga vizuri....🙃🙃Hayo ndio maneno sasa... nitakurudisha kwako next week.. beba na nguo
Jamani....kwani nimekukosea nini??😒😁😁😁We nitakuroga tu.
Ya nini??🙄🙄aisee😅
hongera
paja😅Ya nini??🙄🙄
It's the sweetest there is!!!☺️☺️Sun kissed 🥰
Hahaha.....................zilitoka Juzi, ila kuna Kijana aliniambia twende nazo Kitambaa cheupe tukale maisha, huwezi amini mabinti wa mule hawana huruma kabisa kwa Wazee.Zile pesa unazofatilia zishatoka daddie [emoji7][emoji7][emoji7]