YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Mwachiluwi nitafute nikupe mzigo wako, kesho sitokuwepo town naenda mkoa
Karibu mkoaniMwachiluwi nitafute nikupe mzigo wako, kesho sitokuwepo town naenda mkoa
Mjep wizi umeanza link?Karibu mkoani
Wa kwangu nitapokea huku huku mkoani
Pow nakutumia location nowMwachiluwi nitafute nikupe mzigo wako, kesho sitokuwepo town naenda mkoa
Kizuri ule na nduguyo chief, punguza uchoyo basi😁Mjep wizi umeanza link?
Santee 🤗Selfika na #voda#
vipi bado hamjaachana tu
Usisahau kuselfikaSantee 🤗
mtumie na location yanguPow nakutumia location now
Hahahaha ya nini wewe ukilewa unatukana Watmtumie na location yangu
Mwanetu anakula mema ya nchi aisee 😍
Leo naked kabisa, usitoke hapaUsisahau kuselfika
A-ha haha njoo nikubebe Sasa twendeKizuri ule na nduguyo chief, punguza uchoyo basi[emoji16]
Mimi huyu mkuu ?Hahahaha ya nini wewe ukilewa unatukana Wat
MmmhSelfika na #voda#
Sawa itume pm Kabisa locationMimi huyu mkuu ?
Mpe na location yangu basi, aje ale juice ya tikiti maji
Kuna dalili flani flani ila bado hatuja-finalize mambo!😔vipi bado hamjaachana tu
Mema wapi...mkataba wangu ni kama wa DP World tu! 😏😏Mwanetu anakula mema ya nchi aisee 😍