mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
Punguza ShidaMjep weka vitu uzi uchangamke
Hizo nyanya umezishika vizuri 😀😀
🖐️Sio kwawalioba hii
Note 20 ultraSimu gani hii if you don't mind😅
Leo nilitingwa chiefMjep weka vitu uzi uchangamke
🤣🤣🤣🙌Hizo nyanya umezishika vizuri 😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sana mimi nilikaa kumbe natakiwa nipige goti
Kweli , nimeshangaa amani ya bwana iwe daima nanyi unajibu iwe Rohoni mwangu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] na viitikio vimebadilika angalia usiachwe solemba[emoji3][emoji3][emoji3]
Na kwako pia mdauAsubuhi njema wadau
Sawasawa mkuu..Na kwako pia mdau
Ila usisahau kuselfika