Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,797
- 22,356
SIo sifa ya mwanaume kupenda kijana ndio maana scripture inaseme "mwanaume MPENDE mkeo"..kwakua sio nature yetu kupenda..Ujapenda kaka
Na angalizo la msingi ni hili, hata ukitokea kupenda, jitahidi ku contain hiyo feeling.
VIjana wa leo wengi mnakwama hapo