Sawa mkuuMzuri leo anza wewe kuselfika
Ngoja nitafute ka selfie kwenye file
Sawa mkuuMzuri leo anza wewe kuselfika
Sawa mkuuMzuri leo anza wewe kuselfika
Hayo ndio maneno mkuuSawa mkuu
Ngoja nitafute ka selfie kwenye file
Milele amina hongera leo umeenda kanisanDominika ya 17 ,Tumsifu Yesu Kristo
Mimi ni muzee wa kigangoMilele amina hongera leo umeenda kanisan
Inapendeza katekista au ndio mkwekiti wa parokiaMimi ni muzee wa kigango
Milele amina mtumishiDominika ya 17 ,Tumsifu Yesu Kristo
Dominika ya 17 ,Tumsifu Yesu Kristo
Kweli siku nyingi sijaenda church kwenye misa. Kumbe siku hizi hamna maji ya baraka milangoni? Kumbe kutakiana amani sio tena kwa mikono ni kwa vichwa?


😅😅😅😅😅😅 na viitikio vimebadilika angalia usiachwe solemba😀😀😀Kweli siku nyingi sijaenda church kwenye misa. Kumbe siku hizi hamna maji ya baraka milangoni? Kumbe kutakiana amani sio tena kwa mikono ni kwa vichwa?
Hatari sana mimi nilikaa kumbe natakiwa nipige gotiKweli siku nyingi sijaenda church kwenye misa. Kumbe siku hizi hamna maji ya baraka milangoni? Kumbe kutakiana amani sio tena kwa mikono ni kwa vichwa?
Ile zaga imegoma kufutika kabisa kwenye ubongo! Kila mda inanijia nifanye nini.Kondoo wengi mmetawanyika!! Hebu rudi kundini mpendwa![]()
Hatari sana mimi nilikaa kumbe natakiwa nipige goti



na baadhi ya sala pia zimebadilikaIle zaga imegoma kufutika kabisa kwenye ubongo! Kila mda inanijia nifanye nini.



Ohooo Basi sawa; very soon!!Zaga?! Hebu tuma na ya kutolea namba nishaweka piemuni uko![]()
Ohooo Basi sawa; very soon!!
Acha nifilisike tu ili uinjoy mrembo.
#akiba haiozi.



Ukitoa sala ya baba yetu na salamu maria nyingine nabaki tu kuwa bubuna baadhi ya sala pia zimebadilika