mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,283
- 71,961
shwariNiaje wakubwa![]()
shwariNiaje wakubwa![]()
Pole sana, Sasa Bill Lugano ni mfanyakazi wangu.Simfahamu
Karibu uselfike chiefNiaje wakubwa![]()
shwari
siitumii san lkn nahisi aman mnaishije uku mjini kwa maxe melo 
We ndiye unajidanganya ni kawaida, ila we ni mrembo.Nacheka kwa nguvu
Hivi kwann mnapenda kutudanganya humu?
tuko poa kabisaThis is so good brosiitumii san lkn nahisi aman mnaishije uku mjini kwa maxe melo
![]()
Sina usingizi.Mkuu lala![]()
Mpe nafasi kijana msikilizeMkuu lala![]()
Kaka toka tumeanza kusoma pamoja chekechea leo umeongea point ya msingi sana, na kwa kweli sitokusahau hata ukinyoa upara, nashukuru.Mpe nafasi kijana msikilize
tatizo binadamu wa sikuhizi ni wabishi sanaKaka toka tumeanza kusoma pamoja chekechea leo umeongea point ya msingi sana, na kwa kweli sitokusahau hata ukinyoa upara, nashukuru.
Umetisha mkuu, have a nice day mkuu 🙂tatizo binadamu wa sikuhizi ni wabishi sana
Hapana mkuuUzi unaelekea kuwa wa mipasho
Umeenda kanisani kwaza?Uzi unaelekea kuwa wa mipasho
Mzuri leo anza wewe kuselfikaTuselfike wadau
Habari za asubuhi