Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli eeh?? Basi ajiandae kuchafuka zawadi [emoji4][emoji4][emoji4]

Anaonyesha mtaratibu na mpambanaji afu upendo upo mwingi kwake
Duh sijui una macho ya rohoni siwez mwelezea tu ila ndio mtu ambaye nimebakia naye mwenye kanipambania sana si mwepes wa hasira na kesho anakuja
 
Piem umepenya vipi wakati nimefunga? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ile siku ya kuwasilisha maombi ya Jimbo! nilipenya kabla haujaifunga.

Labla useme uli ignore
Ili kesho asubuhi na mapema niwahi kawe siti ya mbele
 
Back
Top Bottom