Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Utafanya shem wangu Mjep asinitumie ma-voucha kwa kujua mimi mambo safi, kumbe choka mbaya

Afu Kantri hizo pombe leo sikuelewi kabisaa usije kubeba mhudumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Kwa zile spending kuna kitu hakipo sawa, nafanya uchunguzi huru. Mbuzi ukimuona juu ya mti ujue kuna mtu kampandisha
 
Ko umekuja kunichambia huku? [emoji23][emoji23][emoji23]

Mambo ya chumbani yaishie chumbani bas babe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jager imefika kwa kichwa. Kila nikiangalia picha zile ukifanya shopping roho inauma sana. Something is wrong somewhere, I should take a morally strong decision
 
PXL_20230722_093710423.PORTRAIT.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jager imefika kwa kichwa. Kila nikiangalia picha zile ukifanya shopping roho inauma sana. Something is wrong somewhere, I should take a morally strong decision

Kantri acha basi [emoji23][emoji23][emoji23]

Njoo nikwambie kitu kizuri piem babe, ushalewa tuondoke selfika
 
Back
Top Bottom