Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Countrywide nime uliza??, Jina lako halisi ni lipi🙄
Mi mwenyewe hata skull sijaenda, ni kujifunza tu.Aloooooooo.
basi sikuwahi kujua sababu hata somo lenyewe la lugha lilinipitia kushoto.
ila nitajitahidi nianze kufatilia nondo za lugha maana kuna projects zangu kibao zitahusisha upande huo.
Napata notifications kupitia vaults hivyo najikuta naingia tuMwambie mhudumu akuletee maji ya baridi unywe babe afu selfika toka [emoji8][emoji182][emoji182]
Tawiree😂😂🤣🤣😂😂🤣Hebu kalale uko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo naijua hiyooCountrywide nime uliza??, Jina lako halisi ni lipi[emoji849]
Elimu inasakwa mahala popote.Mi mwenyewe hata skull sijaenda, ni kujifunza tu.
Countrywide nime uliza??, Jina lako halisi ni lipi[emoji849]
Napata notifications kupitia vaults hivyo najikuta naingia tu
Hiyo naijuaCountrywide [emoji4]
Hiyo naijua hiyoo
Yeah mkuu, knowledge isn't limited in a room of 20 or 30 people.Elimu inasakwa mahala popote.
huwa nawashangaa ambao huwa na perception ya elimu kupatikana shule tu.
Sasa Ume sema Siri, then why u act as if tuna kuforce🙄Hiyo naijua hiyoo
🤣😂😁Zimeanza kurejea [emoji4][emoji4][emoji4]
Nina plan nikifika 30 yrs niwe na skills atleast 100 nilizozimaster effectivelyYeah mkuu, knowledge isn't limited in a room of 20 or 30 people.
Cool, mi Niko 77 yrs old.Nina plan nikifika 30 yrs niwe na skills atleast 100 nilizozimaster effectively
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] huo mchezo unaotaka kuufanya acha nakwambia
Kuna muda huko upstairs hakupo sawa?Sasa Ume sema Siri, then why u act as if tuna kuforce[emoji849]
Upstairs Ndo nini??, Sijui kitu MimiKuna muda huko upstairs hakupo sawa?
My father's age mkuu.Cool, mi Niko 77 yrs old.