Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kantri nimemiss michano [emoji4][emoji4][emoji4]

Hebu nipe moja afu tuage selfika tukanywe whiskey yetu babe
Pen and paper its time to get college/
sinukii perfume wala sinuki jasho/
nani anafyumu uswazi hakuna mipasho/
kuna mererani, ngome, jela na uraiani/
pembe tatu za maisha r-back tang ngara be careless one and siwezi kuwa be careless one/
kama kufanya nafanya sifanyi matusi/
kama kuchana nachana, sichani ku-diss/
Coca na madunya siwez wamiss, mdomoni kama halipi siwezi kiss/
 
Hii imekaa kiugomvi sitaki [emoji23][emoji23][emoji23]

Nipe km ile ya Joh “BOBEA” sasa ulete ya kwetu [emoji12]
 
Mbona unaanza kumsimanga sebuleni khaaaaaaa!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wee Kantri ebu wachaaa huo ujinga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naonaa jager imefika kwa tumbo. Sehemu nilipo hapa kunaa huyu barman alikua amesimama pembeni yangu muda mrefu kidogo ananiangalia ikabidi nigeuze simu faster[emoji1787][emoji1787], nilishtuka kidogo niangushe simu. Atakua na id humu
 
Sio kweli. Mnachanganya kati ya celebrities na selebrities. Tatizo lipo kwa hawa selebrities. Unaenda ku-date na dullah makabila unategemea nini?
Mkuu katika celeb wakike anae jielewa namuona Aunt ezekile she is so smart nampenda ata interbiew zake anaongea point sana kajala yupo vzr pia ila harmonize kamchafua
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naonaa jager imefika kwa tumbo. Sehemu nilipo hapa kunaa huyu barman alikua amesimama pembeni yangu muda mrefu kidogo ananiangalia ikabidi nigeuze simu faster[emoji1787][emoji1787], nilishtuka kidogo niangushe simu. Atakua na id humu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] soon tutaletewa habari zako ntachekaaaa
 
Back
Top Bottom