YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Nitamwaga ila sio wa country nitavunja bond
Huo ndio nautaka wa Kantri babe [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitamwaga ila sio wa country nitavunja bond
Hili halina ukweliHuyo anachipukia ila majizo kwanini aweke kigezo cha kupata kazi ni kuotoa rinda
Hawa ndio wanatufanya tuchukie umaaruf
Ahahaha af nakesi bado sijamilizaMakubwa [emoji15][emoji15][emoji15]
Hadi sasa roho ipo juu, umenunua brands tupu. Where did you get that money??
Ahahaha unakataaa pale ofisini kwake ukichunguza ni wachache ambao awajamlaHili halina ukweli
Ww unataka nimwage mambo ya watu hapa kuna mmoja wao yupo humuKino kumeoza, afu ss hivi upuuzi wa kino umeweka mizizi tabata
Roho bado ipo juu juu sana, hili swali hadi sasa sijapata jibu. Where did she get the money????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kantri una nini lakini??!! Eti Eeh?!!!
Mwenzio apeche alolo navaa za wakinga kutoka Guangzhou
Ahahaha unakataaa pale ofisini kwake ukichunguza ni wachache ambao awajamla
Juma lokole alisikia fdq anatango kubwa akaanza mshobokea fid q akampa mkwala juma lokole akagive up ila nasikia bado ajakata tamaaa
Ww unataka nimwage mambo ya watu hapa kuna mmoja wao yupo humu
Roho bado ipo juu juu sana, hili swali hadi sasa sijapata jibu. Where did she get the money????
Soon or later jibu nitalipata
Mkubwa una tatizo na Mimi [emoji1787][emoji23][emoji855] Jack Palladino
Nmecheka sana kumbe na wewe ni mbunge wa bunge letu tukufu 🤣🤣🤣Ww unataka nimwage mambo ya watu hapa kuna mmoja wao yupo humu
Dada leta ubuyu wa bungeni
Hebu alete hapa sasa umbea ni kitu cha kunyimana jamaniShouga mwenyewe nausubiri kwa baba Paroko afu anaubania [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwanini upate relief, kutoka kwa ubavu wangu wa pili 😁😁Sina tatizo[emoji28]
Majizo hajaweka kigezo hicho, Nina mfahamu mtu Ni mwajiriwa pale.Huyo anachipukia ila majizo kwanini aweke kigezo cha kupata kazi ni kuotoa rinda
Hawa ndio wanatufanya tuchukie umaaruf
Hebu alete hapa sasa umbea ni kitu cha kunyimana jamani
Letter tucheke yaisheNashangaa!!! Umbea nao wa kumbania mtu kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]