Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Jamaaniii kakaMimi situmii kinga, ndio maana sichepukagi. Nitumie kinga utam afaidi nani eti!!
Jamaaniii kakaMimi situmii kinga, ndio maana sichepukagi. Nitumie kinga utam afaidi nani eti!!
Kimbia haraka uje.Aaaw wapi!!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Ilà nashukuru mission yangu ilifeli tu mkuu, I was about to hit the ground running [emoji23][emoji23]
Duuuuh!! Kumbe kuna unaowataka ila mimi hunitaki[emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24]Kwa humu hapana, kuna nilimtaka kweli kweli lakini gundu linaendelea kunila, nilikula za uso baada ya kutoa ya rohoni[emoji23][emoji23][emoji23], nikataka kwenda bahari Hindi kuoga ila kwa hili sekeseke ngoja nikae na gundu langu tu.[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Nilizanigi we ni wakike
Ulipotea sanaaNilizanigi we ni wakike
Nikashangaa mbona picha haina manyonyo[emoji23][emoji23]Ulipotea sanaa
Kama kawaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au sio
Pole jamani😀Nikashangaa mbona picha haina manyonyo[emoji23][emoji23]
..we endelea tu hivyo! Huna hata huruma na wenzako!!Duuuuh!! Kumbe kuna unaowataka ila mimi hunitaki[emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24]
Nitakosa huruma kwa woote ila sio kwako...we endelea tu hivyo! Huna hata huruma na wenzako!!
[emoji2307][emoji2307][emoji2307][emoji26]Nitakosa huruma kwa woote ila sio kwako.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji2307][emoji2307][emoji2307][emoji26]
Mkuu unazidi kunikimbiza humu, sijui hata nichukue mwelekeo gani..dah!!
ichi kijiko kimekaa kichawi chawi