ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,487
- 126,757
Hivi kweli mdogo wangu unakubali kabisa kumvalisha mwenzako mapira? Mi sikubali[emoji39]Jamaaniii kaka
Hivi kweli mdogo wangu unakubali kabisa kumvalisha mwenzako mapira? Mi sikubali[emoji39]Jamaaniii kaka
Kuna muda kama dakika 3 hivi .. Uzi ulikuwa haufunguki.. Nikajua wameufutaView attachment 1276038
Laki tano[emoji23]Sabun ya rohoView attachment 1276043
Gaiii!!
Hujanijibu swali languDuh!
Hilo linawezekana, lakini tegemea issue za kugombania remote, mara tusimuliane udaku, mara tuwaseme majirani nk.
Wakati nikipita zangu nikapiga bia mbili narudi nakuwaza wewe tu.
Ulete tu mpenzi, nipo nakusubiri.Atoto nna mzigo wako kutoka kwa Mzee Mshana kaniagiza niulete kwako.....!!!!
Upo pale pale pa siku ile.....?Ulete tu mpenzi, nipo nakusubiri.
Laki tano[emoji23]
Hujanijibu swali langu
Basi uwe unanunua unanywea nyumbani nakuona
Inawezekana sana tu,mi nitakupa kampani kwa kitu kingine muda we unakunywaHapo sawa, kwa mbaliii inawezekana.
Ila siku za kuangalia mpira inabidi nikakae bar na washabiki wenzangu.
Inawezekana sana tu,mi nitakupa kampani kwa kitu kingine muda we unakunywa
Hiyo siku ya mpira sio mbaya hata ukienda,manake kama unavyoona sisi wapinzani
Yeleuwiiii karoho kamestukaaa[emoji134][emoji134][emoji134]Upo pale pale pa siku ile.....?View attachment 1276051
Kumbe sio zangu?[emoji24][emoji24][emoji24]Sita za Mzee Mshana izo