Kwa niaba ya wamama wote; nimetumwa niulize hivi; kwa nini nyinyi wababa huwa mnawapost tu watoto bila sisi mama zao? Tena ikiwa ni kabinti jamani ndo kanapostiwa na kuwa spoiled hadi mama karoho kanashtuka: tunaomba muwe mnatupost na sisi mama zao hata siku moja moja; na sisi tunasikia raha duniani tukipostiwa. Thanks in advance
C.c Hubby
Aaah hapo sawa, angalau tumeona na mguu wa Balimi sasa. Sio kila siku kuwaweka tu watoto. Nimetabasamu
Unazidi kutisha watu
Naanza kukimbia mbio, hata sijui naelekea wapi dadeq... Tumekwishaaa
Sina tabia ya kudanganya[emoji39]Hivi unahisi unamdanganya nani eti??
Usishangae, ni vizuri kutunza privacy ya mtu[emoji39]Khaaaaah!!!
Baba yako si unamjua kila mtaa ana mke, sasa atatuposti wangapi? Ndio maana anapost watoto tu.
Kwa humu hapana, kuna nilimtaka kweli kweli lakini gundu linaendelea kunila, nilikula za uso baada ya kutoa ya rohoni[emoji23][emoji23][emoji23], nikataka kwenda bahari Hindi kuoga ila kwa hili sekeseke ngoja nikae na gundu langu tu.[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]kama umechovyachovya una haki ya kukimbia
Sina tabia ya kudanganya[emoji39]
Haha na hivi mmeanza na kutupost; tutamwaga picha kama mvua. Msitoke kabisa kwenye huu uzi leoZamu yenu sasa. Ila msitu-post sisi, wala wanenu, bali nyinyi wenyewe. Zama za women empowerment hizi, so hatutaki mtu awaibie spotlight. 1,2,3...twende
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naanza kukimbia mbio, hata sijui naelekea wapi dadeq... Tumekwishaaa
Haha na hivi mmeanza na kutupost; tutamwaga picha kama mvua. Msitoke kabisa kwenye huu uzi leo