Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,862
Nipo mkuuMrembo mambo? umepotea sana.
Nipo mkuuMrembo mambo? umepotea sana.
kumbe uko serious😂Ile lunch ya kukusuta inakaribia mshamba_hachekwi
Sijakuona janaOi jr
Ujawai kula beNilijua ni mihogo
Sawa tunaonaView attachment 2699554
Mwaka huu lazima tufikie hatua ya Fainali ya Klabu Bingwa.
🦁🦁🦁🦁🦁
Nguvu Moja 💪
Labda ucheze mziki mpaka ikatekumbe uko serious😂
You're missed too, Mr Captain❣️Saint Anne selfika nimekumiss mtoto mzuri.
Tuombeane fainali ya Klabu Bingwa tucheze Simba na Yanga 🤪Sawa tunaona
Mie Simba mzee 😎Nanyi Watani endeleeni kuboresha kikosi chenu, mwaka huu mkitolewa Champions league hakuna kucheza Shirikisho kama Mwaka Jana.
Nguvu Moja 💪
Hio ndio picha.You're missed too, Mr Captain❣️
Pamoja sana.Nipo mkuu
NdiyoHio ndio picha.
Niwie radhi Kiongozi, nilidhani utopoloMie Simba mzee 😎
Sawa.Ndiyo
Kiuno nyigu mtoto, hebu geuka nione nione hio jeans kwa nyuma ilivyokaa nataka nikununulie kama hio, imekupendeza sana.
Utopolo ni Saint AnneNiwie radhi Kiongozi, nilidhani utopolo
Mwaka huu Kikosi chetu kinatia matumaini
Ilete kwanza hiyo hela ya kununuliaKiuno nyigu mtoto, hebu geuka nione nione hio jeans kwa nyuma ilivyokaa nataka nikununulie kama hio, imekupendeza sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utopolo ni Saint Anne
Nione kwanza unavaa size ipi.Ilete kwanza hiyo hela ya kununulia