Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,324
Alafu sijui amekunywa Maji ya bendera ya Utupolo, yaani pamoja na kumpa Ofa ya Jersey kiwango ya Mnyama eti amegoma kuivaa.Utopolo ni Saint Anne
Hapa namsubiria Simba day nimnunulie Tiketi aende uwanjani kuona Miamba ya soka Simba Sports club 🤪