YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Au kinega cocastic
Unamuanza mdogo angu akikuwashia moto mimi siingilii ooh! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza unakoelekea utanitibua ss hivi nakujua akili zako
Au kinega cocastic
[emoji1787][emoji1787]Unamuanza mdogo angu akikuwashia moto mimi siingilii ooh! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza unakoelekea utanitibua ss hivi nakujua akili zako
[emoji1787][emoji1787]
Oi jrJr leo ujaonekna humu
Ungesema hivyo tokea mapema!!!Nitakuwekea sura ya huzuni hadi utanionea huruma mwenyewe🤣🤣
Tena hapo nimebeba matunda au 🍩🍫 😋
Eeh siwezi kuja mikono mitupu mimi, zawadi muhimu😋Ungesema hivyo tokea mapema!!!
Mgeni anaekuja na zawadi siku zote anapokelewa!!!🤗🤗
Huo msumari [emoji2960]
Ming'pko hii mitamu nilikuwa sijalada mrefu kumbe dar ipo View attachment 2698887
Mrembo mambo? umepotea sana.🤣🤣 leo hatujaongea
Ni jana imeanza kuwa nzito
Sahivi ni mwendo wa Halima Mdee
Mnyama kiwango kimeshuka sana.View attachment 2699554
Mwaka huu lazima tufikie hatua ya Fainali ya Klabu Bingwa.
🦁🦁🦁🦁🦁
Nguvu Moja 💪
Kwa usajili tulioufanya, timu pinzani zijiandae kutoleta timu uwanjaniMnyama kiwango kimeshuka sana.
Ngoja tuone 🙂Kwa usajili tulioufanya, timu pinzani zijiandae kutoleta timu uwanjani
Na mtani sioni kama atachukua Kombe Mwaka huu labda wafanye mpango watupore tu kwa nguvu 🤪
Nanyi Watani endeleeni kuboresha kikosi chenu, mwaka huu mkitolewa Champions league hakuna kucheza Shirikisho kama Mwaka Jana.Ngoja tuone 🙂