Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Ningekua siwashi taa wala TV!😁🙈Ningekua jirani yako, kila siku hodi😋
Ningekua siwashi taa wala TV!😁🙈Ningekua jirani yako, kila siku hodi😋
Nazunguka mlango wa jikoniNingekua siwashi taa wala TV!😁🙈
Ungeendq kufanya nini?Ningekua jirani yako, kila siku hodi😋
web shingapiView attachment 2698597
Karibu tukuhudumie.
Tunapatikana Mbezi Beach, Tanki Bovu, Jengo la White Beach Park, Dar es salaam.
Kula misosi mizuri😋Ungeendq kufanya nini?
web shingapi
Utavimbiwa sasa na wangekuwa wanakufungia mlangoKula misosi mizuri😋
Nitaliaaa 😂Utavimbiwa sasa na wangekuwa wanakufungia mlango
🤣🤣🤣 hawata kusikiaNitaliaaa 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nazunguka mlango wa jikoni
Huko najua tu nitasikia purukushani za vyombo najua uko ndani
Mimi huyo "hodi jirani yangu kipenzi"🤣🤣
Angekupiga kiswahi iko acha tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo najidai nilikua naosha vyombo vya juzi na sina mood ya kupika! Alafu nakugeuzia kibao tukale kwako!😁
Nitakuwekea sura ya huzuni hadi utanionea huruma mwenyewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo najidai nilikua naosha vyombo vya juzi na sina mood ya kupika! Alafu nakugeuzia kibao tukale kwako!😁
Karibu chamaniraha ya huku mechi za hapa na pale hukosi ni shwaaa



card namba ngapi unanipa shogare? Na hizo mechi za hapa na pale ndio balaa sasa, nitaweza?!!!!!!😆😆😆😆 itabidi nikutafutie training kwanza uivecard namba ngapi unanipa shogare? Na hizo mechi za hapa na pale ndio balaa sasa, nitaweza?!!!!!!
itabidi nikutafutie training kwanza uive




Nani tena huyo? 😊