Role model wako nae yuko poa!Am good
Vip idrisa yupo anasemaje? 😁
Itapendeza zaid mpe hi nyingi sanaRole model wako nae yuko poa!
Nimwambie umemmiss???😁
Ningekua siwashi taa wala TV!😁🙈Ningekua jirani yako, kila siku hodi😋
Nazunguka mlango wa jikoniNingekua siwashi taa wala TV!😁🙈
Ungeendq kufanya nini?Ningekua jirani yako, kila siku hodi😋
web shingapiView attachment 2698597
Karibu tukuhudumie.
Tunapatikana Mbezi Beach, Tanki Bovu, Jengo la White Beach Park, Dar es salaam.
Kula misosi mizuri😋Ungeendq kufanya nini?
web shingapi
Utavimbiwa sasa na wangekuwa wanakufungia mlangoKula misosi mizuri😋
Nitaliaaa 😂Utavimbiwa sasa na wangekuwa wanakufungia mlango
🤣🤣🤣 hawata kusikiaNitaliaaa 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nazunguka mlango wa jikoni
Huko najua tu nitasikia purukushani za vyombo najua uko ndani
Mimi huyo "hodi jirani yangu kipenzi"🤣🤣
Angekupiga kiswahi iko acha tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo najidai nilikua naosha vyombo vya juzi na sina mood ya kupika! Alafu nakugeuzia kibao tukale kwako!😁
Nitakuwekea sura ya huzuni hadi utanionea huruma mwenyewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo najidai nilikua naosha vyombo vya juzi na sina mood ya kupika! Alafu nakugeuzia kibao tukale kwako!😁
Karibu chamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] raha ya huku mechi za hapa na pale hukosi ni shwaaa
😆😆😆😆 itabidi nikutafutie training kwanza uive[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] card namba ngapi unanipa shogare? Na hizo mechi za hapa na pale ndio balaa sasa, nitaweza?!!!!!!