Selfika na JF: Snap it. Show it

Khakhakhaaaa.. Nacheka kama mazuri uduguuu!!
Humu sijui ndio gia hio mtu akimdondokea mwanaume lazima akandie mwanamke mwenzieee hawawezagi kupambana naharee zao kabisa kutokujiamini tu!!
Aisee 💯💯💯💯💯.

Hahha na walivyo wajinga wanajitangaza kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣.

Na kujiona mashujaa duuuh asee. Mi nachekaga kama fala.

Watu wazima hovyo 🚮🚮🚮🚮. Na UKIMWI WAO

Pathetic
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kumekucha kumekucha kumekucha.


Asee kumbe nami nilijua tu hawachelewi kukojolewa hao kabisa.

Akiona tu unamsantch naniliu wake wanasikia kuchanganyikiwa.

Duuh sema ni very cheap. Mpunga wako tu unawangoa.

Hawana soko hao auntiee 😱😱😱😱 pole yao
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora anisimulie wanavyopelekeshwa kukesha kwenye mwenge na baridi afu hawaambulii kitu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aseee labda weeknd wanaweza ambulia mafogo si unajua mitoko kama yote 🤭🤭🤭
 
Ukome kuchatisha mabwana wa watu......
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mabwana wa watu jf? Wanabebwa wa ndoa itakua wa jf? Na nilipanga nisimpe nataka nimpe na nimchukue jumla shubhamit
Sasa uyo bwana wenyewe ndala za chooni tu anaenda kukopa af unataka umchukue usije lalamika hapa kma mfaransa
 
😀😀Kuna watu hz story wanazichukulia serious kabisa wanajua kweli
Me nilikuwaga naingia kama guest nasoma nasepa almost 10yrs
Nikaona napitwa na mengi wacha niingie uwanjani😆😆😆
 
😀😀Kuna watu hz story wanazichukulia serious kabisa wanajua kweli
Me nilikuwaga naingia kama guest nasoma nasepa almost 10yrs
Nikaona napitwa na mengi wacha niingie uwanjani😆😆😆
Ikawaje sasa?
 
Kumekucha kumekucha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣


Aseee auntiee nakufuata pm saivi unipe mkasa wote

Hee mbona hukuniambia mi nilijua tu ile naniliiu yenu isingeisha salama.

Sasa hapo mlikuwa hamna hata mwezi mngetimiza mwaka sijui ingekuwaje.



🐗🐗🐗🐗🐗🦣🦣🦣
 
Kwa kweli wanajua kutuponda humu!!
Kuna mmoja alisema eti tulioshindikana kwenye mahusiano ndio tumejaa na sura zetu mbovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu hao hao wanazama piem kuimbisha mapambio
Aisee mbona hii ni mimi kabisa 😱😱😱

Uwiiih mkuki kwa nguruwe 😬😬😬
 
Napenda kashikashi shogare tena humu sifaidi natamani tuwe live tudundane mpk apatikane mshindi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo wanaume wa humu kwa uongo uongo na story za maisha mazuri kumbe hohehahe tu...
 
Mimi sikua mfatiliaji sana wa chit chat na mmu

Kuna jukwaa langu pendwa humu ndio nilikua nalo busy tena kwenye id nyingine sio hii

Hii nilifungua kuna mtu nilitaka kumtukana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hio i'd yako nyingine siku kuibukia kweli pm mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…