raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,827
- 36,820
Yaani ni vituz juu ya gadem vituz u know 🔥🔥🔥🔥😄
Yaani ni vituz juu ya gadem vituz u know 🔥🔥🔥🔥😄
Ahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumekuchaaaaa
Ko unanishauri niendelee kuwa single?!!
Aunti kwani hujawahi kuna na wale sura za ng'ombe [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Wana kazi ya kulazimisha wanaume wawafuate pm. Jf kuna wabovu ww ohoo.
We hujui tu yaani hee acha nikae kimya we Endelaa kujidanganya hivyo hivyo kwamba wabovu hawapo utashangaa na nafsi yako.
Hata mi niianzisha thread ya kuponda ujue nalenga baadhi ya watu na najua wanapita huku kimya kimya kama hawaoni vile ila wanajijua
Ila jf kuna madem wabovu bana wee na huwezi fikiria sasa
[emoji124][emoji124][emoji124]Yaani ni vituz juu ya gadem vituz u know [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1]
Maneno ya mkosaji,wanatapa.
Wako blessed since day unoWeee kumbe!! Lol! Kama good pipo wapo wabarikiwe sana!
Na kwanini iwe complicated,, sometimes na dharau juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ko ulijua rahisi tu!!!!
Hawaishiwi kuwasema wanawake,hasa tuvijana tudogo.Kwa kweli wanajua kutuponda humu!!
Kuna mmoja alisema eti tulioshindikana kwenye mahusiano ndio tumejaa na sura zetu mbovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu hao wanazama piem kuimbisha mapambio
Nilikua sijuiii!!!!!Wako blessed since day uno
Vijana vinapenda kiki tu !Hawaishiwi kuwasema wanawake,hasa tuvijana tudogo.
Uzuri upo kwa mtu mwenyewe, unapoanza kukosoa kitu halafu hukichangii chochote Hilo ni janga😂🤣😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] si bado nachambua ndio nilete mkeka nani kapita
We tulia
Nimefikaa mkuu, Kuna nini Tena??
Powa kabisaMarahaba za huko.
Na kwanini iwe complicated,, sometimes na dharau juu
Ms eyes Ana matatizo 🤣😂, we una kuwaje competitor wa intelli🤣😂.
Umeshafeli mzee 😁😁Jaman hapa nimekosa teyar Mjep nimeitwa mdogo wangu kuna dalili kweli ya kuonewa huruma hapa
Lectuler wa mchongo🤣🤣🤣🤣aminia mr. lecturer🤝🏾
Dah ana macho mazuri mpka kero umemuona kwaza?Umeshafeli mzee 😁😁
Hiyo inaitwa jaribu tena baadaye
Hawaishiwi kuwasema wanawake,hasa tuvijana tudogo.
Kwani ameselfika mkuu?Dah ana macho mazuri mpka kero umemuona kwaza?