Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni kuwapuuza tu!! Mimi siwabebi kwa kweli tena nikichafukwa nakutukana nikipewa ban fresh tu, sio shida zangu
Sasa hapa walau nivobadili hii username kidogo napumua! Nikisema nirudie ile ya zamani Alooooooohh 🤠🤠🤠🤣🤣!

Nacheka kama mazuri vilee!!😊😊😊!!
 
Kukikosa kujiamini haki unaweza usipite humu.

Mimi humu napita humu muda wowote ninaotaka hakuna aliyeniita kujiunga jf wala anayenilipia bando!!!

Kuna demu alinichukia humu kwasababu za kingese kweli afu anakuja piem na vi id vyake fake kuniletea habari za kibaka mmoja. Nikamwambia tunataniana wala hatudate wewe relax jf hakuna bwana usijichoshe

Nilicheka sanaaa aiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jf kumbe kuna watu wana mabwana zao kweli?!!
 
Humu tulio single ni Mimi intelli na nyuki was mashineni mshamba_hachekwi 🤣😂
 
Sasa hapa walau nivobadili hii username kidogo napumua! Nikisema nirudie ile ya zamani Alooooooohh [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1787][emoji1787]!

Nacheka kama mazuri vilee!![emoji4][emoji4][emoji4]!!

Nimeona udugu hii id umebadili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ungeiacha ungekua unawatukana kwa raha zako wanaokufatilia kikubwa bando na muda uwepo tyuuuu
 
Mimi humu napita humu muda wowote ninaotaka hakuna aliyeniita kujiunga jf wala anayenilipia bando!!!

Kuna demu alinichukia humu kwasababu za kingese kweli afu anakuja piem na vi id vyake fake kuniletea habari za kibaka mmoja. Nikamwambia tunataniana wala hatudate wewe relax jf hakuna bwana usijichoshe

Nilicheka sanaaa aiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jf kumbe kuna watu wana mabwana zao kweli?!!
Humu hizi flirting kuna pipo zinachukulia siriaz dear!! usishangae Siku ya siku kusikia la kukuhusu kuhusu hizihizi flirting🤠🤠
Yani watu hawapendiii na hawafurahii kuona marafiki wakifurahi kutaniana na kucheka humu!ii
 
Back
Top Bottom