Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,264
- 95,541
HahahahaHahahaha huo ndo wimbo wangu muda wote..
Ngoja waamke niwakumbushe tena
Fanya hivyo Mkuu
HahahahaHahahaha huo ndo wimbo wangu muda wote..
Ngoja waamke niwakumbushe tena
joanah mwambie babu nina mazungumzo naye, anitafute.
Tukutane week end hii wote,hata mie nina mazungumzo nae
Sawa sawa.
Weka picha basi
Picha gani?
Shkamoo mchawiYanaumaa
Ya kwangu ile
Ntaituma jioni nikishalewa, ili nisingizie pombe.
Halafu hili kuhusu pombe itabidi tuje tulijadili kwa mara ya nne manake naona pombe inapendwa kuliko mimi hadi naona wivu sasa
Hiyo ni serious case, kugombana na pombe ni sawa ni kupigana na ukuta.
Najua wanawake tuna nguvu,nitaweza kukufanya uache kabisa....
Easy Friday[emoji3067] View attachment 1275762
Usije baadae ukajutia uamuzi wa kuniachisha pombe.
[emoji3577][emoji2535][emoji3577][emoji2535][emoji3577][emoji2535][emoji123][emoji123][emoji123][emoji116]
Hawezi [emoji23][emoji23][emoji23].
Siwezi toka nje ya lengo(ulevi)
Uzi bado upo active, ila picha zimekuwa chache[emoji39]