Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Vijana wa siku wa ovyo sana Leo nilienda kidispensary kimoja hivi 😀
Nimeanza kupewa vikaratas vya namba mapokez,nimeingia Kwa Dokta nikaelekezwa maabara nmepimwa wa maabara kanipa namba nimpigie 😀😀nimerudi Kwa Dokta nimepewa namba Tena 😂😂
Sijui nianze kumpigia yupi😂😂ndo maana Ukimw hauish
Antonnia
Umeona uje untaje uku
 
Wapigie wote, afu wasikilize as part of socialization kama unavyotuchatisha humu.

Wapuuzi watakuwa wanaambizana hao.
 
We dogo unajifanya hupendi eeh.

We jichetua tu. Mi kuna vitu vinanitia hasira sana 🤬🤬🤬 au basi tu.

Au tuufuate ule msemo wa mwanaume anavyozeeka ndo thamani yake huongezeka 😅😅😅.

Sio kwamba tukifika miaka 40 tutakuwa na thamani 🤣🤣🤣. Aseee

Nimechoka kuwa CHAPUTA mimi 🤬🤬
sasa mi nakusaidiaje bro, kwanza unapenda ugomvi ndo maana hupati mchumba😂
 
Back
Top Bottom