YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
hujaacha kitu
Basi Kigi itakua nawe mmoja wetu hapo!!! Umenishinda na ukoo wangu upo hapo ila sitaji hapa


kwake na cute wife lazima upajueKweli udugu mbona nawewe uliziona kabisaaa !
kwake na cute wife lazima upajue




🥹🥹 hizi juhudi zote bado unanichinjia baharini?Wewe sikuonyeshi pic yangu ng’oo ukute ni ndugu![]()
Mweh mie pia kaukau uduguuu zile editing tu!!Niliona moja, sema udugu una balaa sio kwa hips zile jomooooni
Lile kweli zigo la kuvunja chaga, sio sie tuliokauka km kuni kavu
😍Asalaam aleykumMuwe na wakati mwema wapendwaa Mnitafutie jina nataka kuslimu!🤠 Cute Wife
Hivi kuna nguo inaukataaga mwili wako bossi lady ?? Pigo zote zinakukubaliMuwe na wakati mwema wapendwaa Mnitafutie jina nataka kuslimu!Cute Wife
Aleykum salaam Mr voucha!!😍Asalaam aleykum
Muwe na wakati mwema wapendwaa Mnitafutie jina nataka kuslimu!Cute Wife
😳😳😳😳😳😳😳😳😳!Hivi kuna nguo inaukataaga mwili wako bossi lady ?? Pigo zote zinakukubali
Kiukweli wewe ni mzuri mpaka unaboa!!
Yule jamaa sijui alikwama wapi kumuacha mwanamke wa maana hivi!
Unawaza chini tyuuu mfyuuu!! Utakufa imekakamaa dogo!!Umepata bwana wa kiislamu
Umependeza unaelekea lodge
Hii kazi namkabidhi madam AaliyyahAleykum salaam Mr voucha!!
Nitafutie jinaaa la kiislam lol!!🤠🤠!
Duh aisee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Muwe na wakati mwema wapendwaa Mnitafutie jina nataka kuslimu!🤠 Cute Wife
Wewe ni mzuri wa asili mama! Nakupendaga bure !!!
!!
Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana!!!!
Nitolee laana zako kijana!!! una hamu ya kulaaniwa na shangazi ako sio bure!!Mwaaaah![]()
Umepata bwana wa kiislamu
Umependeza unaelekea lodge


Eti lodge, ila wee kaka umenishinda!!! Umewaza nini mpk kusema hivyo?