Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wala hata mkuu.

Tonnia ni auntiee yangu mbona na suala la mizigo ipo mingi sana it's not an issue.

Namheshimu, nampenda, namkubali sana tonnia.

Sasa kama hana baya na mtu nifanyeje sasa

Na uzuri anao tele. Yaani nisimpende hata bana.

Out of topic: Kwani mkuu ww hupendi mizigo
kwa kusifia tu vijana mna PHD! Mie napenda moderate ila tako la kunesanesa liwepo!
Sio mi bwanyenye!
 
kwa kusifia tu vijana mna PHD! Mie napenda moderate ila tako la kunesanesa liwepo!
Sio mi bwanyenye!
🤣🤣🤣 Mi bwanyenye ndo yenyewe mi matako madogo siyakubali kama nn

Hata kama demu awe mzuri wa sura kiasi gani mi siwezi asee.

Mwanamke tako bana sio mpo. 6 kwa 6 husiki hata ile milio.

TAKO KUBWA NI MUHIMU KWANGU 🖐️
 
Hivi kuna nguo inaukataaga mwili wako bossi lady ?? Pigo zote zinakukubali

Kiukweli wewe ni mzuri mpaka unaboa!!

Yule jamaa sijui alikwama wapi kumuacha mwanamke wa maana hivi!
Kwaiyo Jimbo lake lipo wazi tuwasilishe maombi mkuu
 
Mi bwanyenye ndo yenyewe mi matako madogo siyakubali kama nn

Hata kama demu awe mzuri wa sura kiasi gani mi siwezi asee.

Mwanamke tako bana sio mpo. 6 kwa 6 husiki hata ile milio.

TAKO KUBWA NI MUHIMU KWANGU
Liwe laini linalonesanesa na kiuno nyigu! Sio kiuno na tumbo vimeungana kama Missy Gf mtu wenyewe mshangazi afu analeta pozi!!
 
Back
Top Bottom