mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,801
shida nini mzee, leo hujatulia
shida nini mzee, leo hujatulia
Wee kumbe!! Hebu namie niweke weke kwenye kibubu nije ninunue infinii bana! Sema Hiki ki tecno changu nakikubali sana!Uzungu wapi mambo ya camera za Infinix 😀😀
Wala hata mkuu.Chawa kazini!! Utakufa kwa kupenda mizigo oversize dogo!!
Mmh kwani uongo anyway ww na gily mnajikuta ma mafia sio. Hiyo forum yenu hiyo hee we ngoja nina plan nayo nzuri sana time will tell 🤬🤬shida nini mzee, leo hujatulia
Btw hilo ni vazi gani linaitwaje maana kila nguo inayofunika mwanamke mwili mzima naita dera 😄Asante mko fasta mnafaa kuwa mabaloz wa DP world😂😂😂
Yan inapicha Kali hatari😂😂😂Wee kumbe!! Hebu namie niweke weke kwenye kibubu nije ninunue infinii bana! Sema Hiki ki tecno changu nakikubali sana!
lol ntakuja kuazima namie nijisnap one time basi!!😁Yan inapicha Kali hatari😂😂😂
Marahaba za huko.Salam kwenu wadau
kwa kusifia tu vijana mna PHD! Mie napenda moderate ila tako la kunesanesa liwepo!Wala hata mkuu.
Tonnia ni auntiee yangu mbona na suala la mizigo ipo mingi sana it's not an issue.
Namheshimu, nampenda, namkubali sana tonnia.
Sasa kama hana baya na mtu nifanyeje sasa
Na uzuri anao tele. Yaani nisimpende hata bana.
Out of topic: Kwani mkuu ww hupendi mizigo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sina jipya mnywanii hata sijatupia mie! Mi mwenyewe nimepitwa na selfis kibao hapa naona manyoyaa tu!Ulitupia Tena
Sameleko
🤣🤣🤣 Mi bwanyenye ndo yenyewe mi matako madogo siyakubali kama nnkwa kusifia tu vijana mna PHD! Mie napenda moderate ila tako la kunesanesa liwepo!
Sio mi bwanyenye!
Hiyo ya juu ni hijab ndani ni gauniBtw hilo ni vazi gani linaitwaje maana kila nguo inayofunika mwanamke mwili mzima naita dera 😄
😂😂Karibulol ntakuja kuazima namie nijisnap one time basi!!😁
Kwaiyo Jimbo lake lipo wazi tuwasilishe maombi mkuuHivi kuna nguo inaukataaga mwili wako bossi lady ?? Pigo zote zinakukubali
Kiukweli wewe ni mzuri mpaka unaboa!!
Yule jamaa sijui alikwama wapi kumuacha mwanamke wa maana hivi!
Liwe laini linalonesanesa na kiuno nyigu! Sio kiuno na tumbo vimeungana kama Missy Gf mtu wenyewe mshangazi afu analeta pozi!![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mi bwanyenye ndo yenyewe mi matako madogo siyakubali kama nn
Hata kama demu awe mzuri wa sura kiasi gani mi siwezi asee.
Mwanamke tako bana sio mpo. 6 kwa 6 husiki hata ile milio.
TAKO KUBWA NI MUHIMU KWANGU [emoji2772]
Usijali hata ivo ile ya Jana Bado haijatoka ubongoniSina jipya mnywanii hata sijatupia mie! Mi mwenyewe nimepitwa na selfis kibao hapa naona manyoyaa tu!
😁😁😁😁😁😁!!Usijali hata ivo ile ya Jana Bado haijatoka ubongoni
Haha au nasema urongo😁😁😁😁😁😁!!