Kwa nini tena mkuu?mshamba_hachekwi na miss Ms eyes sema mkuu una tu fanyia racism😂🤣
Hii sio yangu😂Tuendelee kuselfika
😅😅😅 nitakuwa mkurugenzi kwenye comapny moja kubwaaa sanaaa ... nitawagongaaaa watoto... gojaaa tuu.. sasa hivi hawa wanaletaaa nyodooo humu..🤣🤣🤣hawatupi hata mabusuFive??, I guess nitanunua kifaru ili niboreshe mbinu za wizi wangu😂🤣
mazoezi sifanyi mkuu na bado nakula mkia wa ng'ombe na mchemsho vichane vitatu peke yanguMzee fanya hata mazoezi, uondoe chuki na ngebe😂🤣
View attachment 2697010
Usiache bwana😂, tuma halotel.Kwa nini tena mkuu?
Basi nimeacha🙌🙌
😉😉😉 pacha nitoe basi out.. wewe hutaki nikutoeHii sio yangu😂
Sijisikii, sina hiyo tendency ya kutoka.😉😉😉 pacha nitoe basi out.. wewe hutaki nikutoe
mkuu pakiwa na mwelewa mmoja kama wewe kwenye hili taifa inatosha.Anachosema Dr hyperkid ni sahihi kuna picha nyingi watu huwa wanasema wamefuta ila huwa zinaendelea kuwepo kwa mda flani .. huwa naziona picha nyingi sana walizofuta watu..
Na kwanini utoke, uniache mwenyewe😂🤣😜Sijisikii, sina hiyo tendency ya kutoka.
Na mitambo Kama wewe, hapatatsha🤣😂😂mkuu pakiwa na mwelewa mmoja kama wewe kwenye hili taifa inatosha.
jifunze kutoka, unakutana na watu wapyaaa unajenga network.. msiwe mnatuwazia mabaya wanaume wa humu... 😅😅😅😅😅.. tukiomba kuonana mnajua kumekuchaa dah.. mjue unaweza kosa michongooo hivi hiviSijisikii, sina hiyo tendency ya kutoka.
Na mvua hii nianze kuhangaika😂?Na kwanini utoke, uniache mwenyewe😂🤣😜
Una bahati halotel waga napiga tuu🤣😂😂Usiache bwana😂, tuma halotel.
kuwa na adabu we ni binti yangu wa kukuzaa kabisa.Hujielewi kumbe, pole sana. Watu wako wa karibu wanapata shida sana
Naelewa, ila kama sina hela natokaje😂? Unataka nikatesekejifunze kutoka, unakutana na watu wapyaaa unajenga network.. msiwe mnatuwazia mabaya wanaume wa humu... 😅😅😅😅😅.. tukiomba kuonana mnajua kumekuchaa dah.. mjue unaweza kosa michongooo hivi hivi
Supply upendo nchi yote🤣😂, sio dar tu, halafu nanjilinjii una tusahau🤣😂 MjepKwa nini tena mkuu?
Basi nimeacha🙌🙌
Yashapita hayo🙏🙏, why uamshe vurumai tena🤔kuwa na adabu we ni binti yangu wa kukuzaa kabisa.
acha uwoga banaa..msituone kama mashetani..mda mwingine tuna waita for good kabisa.. ila fresh.. ✌️✌️✌️Naelewa, ila kama sina hela natokaje😂? Unataka nikateseke