Usinisahau katika ufalme wako🙏, ili nikublack mail😂🤣😅😅😅 nitakuwa mkurugenzi kwenye comapny moja kubwaaa sanaaa ... nitawagongaaaa watoto... gojaaa tuu.. sasa hivi hawa wanaletaaa nyodooo humu..🤣🤣🤣hawatupi hata mabusu
afunge mdomo haiwezekani aniquote alafu nimlazie damuYashapita hayo🙏🙏, why uamshe vurumai tena🤔
acha ukuda weyeee 🤣🤣🤣Na kwanini utoke, uniache mwenyewe😂🤣😜
Sina uoga ila siwezi kutoka kama sina hela hatakama nimealikwa.acha uwoga banaa..msituone kama mashetani..mda mwingine tuna waita for good kabisa.. ila fresh.. ✌️✌️✌️
Afu unafiki Ume Anza lini🤔, ushawai niita kamanda wako 🤣🤣acha uwoga banaa..msituone kama mashetani..mda mwingine tuna waita for good kabisa.. ila fresh.. ✌️✌️✌️
ukiwa chumbani hela zina shukaa 😬😬😬Sina uoga ila siwezi kutoka kama sina hela hatakama nimealikwa.
Hapanaukiwa chumbani hela zina shukaa 😬😬😬
Basi utataka nikuvunjie heshima yako, kwani Ms eyes ni family yangu.afunge mdomo haiwezekani aniquote alafu nimlazie damu
😅😅.. Dah! sasa unaitaje boss kama bossAfu unafiki Ume Anza lini🤔, ushawai niita kamanda wako 🤣🤣
basi fresh ✌️✌️✌️Hapana
Mi jobless tu🤣😂, bahari Ime chafuka😪😪😅😅.. Dah! sasa unaitaje boss kama boss
😅😅 unataka niambia tukapige dekiMi jobless tu🤣😂, bahari Ime chafuka😪😪
Mkuu things aren't going normal any more, tuna jaribu ku withstand tu.😅😅 unataka niambia tukapige deki
🙏mimi sina shida na huyo mtoto shida nikaa kimya nakuta kaingizaingiza maneno tena,mara ooh baki na hiyo picha sasa imebidi nijiulize huyu mtoto anafikiri watu hatuna familia hadi ni save picha yake... nafikiri hajui wengine tunatumia browser so kucopy picha na kuipest ni rahisi si lazima tuisaveBasi utataka nikuvunjie heshima yako, kwani Ms eyes ni family yangu.
👉Sipendi washkaji na marafiki wangu watusiwe 🙏
Aisee pooleAiseee nimepitwaaaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]