Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
Naomba ufute pleasebado kwangu naiyona mkuu
Naomba ufute pleasebado kwangu naiyona mkuu
Ifute chief siyo vzr kwa kuwa mwenye nayo ameshafutabado kwangu naiyona mkuu
hawa ndio wanafanyaga msitushushiee vitu vitamu ... si ndio pacha wangu 😊Mwambie afute bwana, sipendi
Tafadhali kwa umoja wa majobless🙏, usisahabishe inflation 🤣😂.Usiseme hivyo😂
Rafiki umeniandama mbona wewe hujiselfishNa wewe uselfike
kwa nini siyo vizuri mkuuIfute chief siyo vzr kwa kuwa mwenye nayo ameshafuta
Hii picha naomba ifutwe, tuheshimiane.
Bro Hebu fanya usiharibu Uzi
kuwa na amani binti we ni sawa na mwanangu kabisaHii picha naomba ifutwe, tuheshimiane.
Naomba ufute hii picha, terms and policy za jf zipo kwa ajili yetu, sitapenda upigwe ban. Please futa hiyo picha.kwa nini siyo vizuri mkuu
Sijui yupoje, sipendi kuongea sana maana natumia nguvu.Bro Hebu fanya usiharibu Uzi
Coz we ni mtu mzima,
Ila unafanya upuuzi
👉Wakubwa huwa hawakosei, ila magereza imejaa watu wazima
unamambo mengi sana ya kujifunza haya waite ModeratorNaomba ufute hii picha, terms and policy za jf zipo kwa ajili yetu, sitapenda upigwe ban. Please futa hiyo picha.
😅😅😅 we mzee mshenzii sanaaaa... ebu fanya wepes mjuukuu atulie.. mababu ndio tunaponea hapa zikianzaa hizi pigo watasusaaakuwa na amani binti we ni sawa na mwanangu kabisa
unalilia niniBro Hebu fanya usiharibu Uzi
Coz we ni mtu mzima,
Ila unafanya upuuzi
👉Wakubwa huwa hawakosei, ila magereza imejaa watu wazima
achana nae pacha wangu 😔😔Sitakujibu chochote kuanzia wakati huu, endelea kuwa na hiyo picha.
Kuna watu wazima lakini wana mambo ya kitoto sana aisee!achana nae pacha wangu 😔😔
upo wapi pacha tukatembeee ...
ndio binadamu walivyo pachaaa 😔😔😔Kuna watu wazima lakini wana mambo ya kitoto sana aisee!
Sitapost chochote tena kuanzia leo hii, amenikwaza sana.ndio binadamu walivyo pachaaa 😔😔😔
tuwazoeee tuuu...