Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,178
- 95,989
Nikulilie wewe Tena🤔😁, dah Basi tuma hiyo disss😂🤣unalilia nini
Nikulilie wewe Tena🤔😁, dah Basi tuma hiyo disss😂🤣unalilia nini
umenishangaza sana binti kwani bada ya kusema naomba uifute nikaenda kuifuta ,lakini ghafla nakuta bado unanambia nijiheshimu hii ni akili kweliSitakujibu chochote kuanzia wakati huu, endelea kuwa na hiyo picha.
Ngombe ya Kijiji ime vamia pori🤔unalilia nini
Ni kweli pacha una haki ya kufanya hivyoo.. usit post hata ukuchaaa 🙂🙂🙂Sitapost chochote tena kuanzia leo hii, amenikwaza sana.
ngombe ?Ngombe ya Kijiji ime vamia pori🤔
Sasa mkuu, we hata Kama ume ifuta.kulikuwa na ulazima upi wa kuhifadhi personal info ya mtu🤔umenishangaza sana binti kwani bada ya kusema naomba uifute nikaenda kuifuta ,lakini ghafla nakuta bado unanambia nijiheshimu hii ni akili kweli
Ni kweli pacha una haki ya kufanya hivyoo.. usit post hata ukuchaaa 🙂🙂🙂
watu wanakwaza sanaa... Pole pacha 😔
hiyo picha ilikuwa hapahapa mimi nilichofanya ni kuipest tuh,kumuonyesha kwamba hiyo anayodai kaifuta picha bado ipoSasa mkuu, we hata Kama ume ifuta.kulikuwa na ulazima upi wa kuhifadhi personal info ya mtu🤔
Oohhh, ila kwa hali ilivyo, itakuwa ngumu kuaminika🤔hiyo picha ilikuwa hapahapa mimi nilichofanya ni kuipest tuh,kumuonyesha kwamba hiyo anayodai kaifuta picha bado ipo
Sikiliza, naomba yaishe. Ni hali tu ya kutokuelewana imetokea. Nisamehe kama nimekukwaza sipendi kugombana kwa vitu kama hivi. Next time naomba usifanye hivi tena dr.hiyo picha ilikuwa hapahapa mimi nilichofanya ni kuipest tuh,kumuonyesha kwamba hiyo anayodai kaifuta picha bado ipo
mimi sihitaji kuaminika, poteleapote mtoto mdogo sana huyoOohhh, ila kwa hali ilivyo, itakuwa ngumu kuaminika🤔
Sawa ni mdogo, ila kwa Hilo tukio🤔. Una hisi nani ana shida🤔mimi sihitaji kuaminika, poteleapote mtoto mdogo sana huyo
kukuonyesha picha bado ipo matokeo yake unaniletea ngebe, bintiSikiliza, naomba yaishe. Ni hali tu ya kutokuelewana imetokea. Nisamehe kama nimekukwaza sipendi kugombana kwa vitu kama hivi. Next time naomba usifanye hivi tena dr.
peleka ujinga na weweSawa ni mdogo, ila kwa Hilo tukio🤔. Una hisi nani ana shida🤔
Achana nae, Intelli. Asikuumize kichwa, umri unaweza kuwa namba tu. Mambo mengine ni kupotezea.Sawa ni mdogo, ila kwa Hilo tukio🤔. Una hisi nani ana shida🤔
Hujielewi kumbe, pole sana. Watu wako wa karibu wanapata shida sanakukuonyesha picha bado ipo matokeo yake unaniletea ngebe, binti
vunga.Hujielewi kumbe, pole sana. Watu wako wa karibu wanapata shida sana
Mzee fanya hata mazoezi, uondoe chuki na ngebe😂🤣peleka ujinga na wewe
Nilikuwa nafanya hivyo😍vunga.