Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🙏mimi sina shida na huyo mtoto shida nikaa kimya nakuta kaingizaingiza maneno tena,mara ooh baki na hiyo picha sasa imebidi nijiulize huyu mtoto anafikiri watu hatuna familia hadi ni save picha yake... nafikiri hajui wengine tunatumia browser so kucopy picha na kuipest ni rahisi si lazima tuisave
Basi amani itawale🙏🙏, we bro ni mmoja peace Sana 😂🤣
 
Back
Top Bottom