Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kati yangu na wao nani anakimbiaga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Embu acha kunichekesha we kuws huru choko akikusumbua we niambie tu chap.

Unamuogopa stranger wa mtandaoni [emoji2960][emoji2960][emoji2960] au we shem vipi.

Au nikufate pm useme vizuri maana ww muoga kama kunguru vile [emoji28]

Shem wee kiboko unapenda ugomvi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Penseli 4 ni kesho la Mtu mmoja haogopi mtuuu huyoooo udugu.. labda mkimbilie kwanza modsss 😁😁😁😊!!
Waambie waambie bestie.

Wanadhani naogopa mtu mi hata jf headquarters nimefika sana tu, melo nimeongea naye sana tu namba zake ninazo pia.


Humu nimedeal na wapumbavu wote na hamna wakunifanya kitu

Kule kwenye jukwaa la siasa ndo usiseme sembuse hii mijinga inayokojolewa ilipe kodi na kulea vitoto vilivyotelekezewa 🚮🚮🚮 vinadangia mpaka vizeee.

Hapa ndo center sirudishi mpira kwa kipa ni mbele kwa mbele 😆😆😆😆






Wee Cute Wife acha woga shem
 
Waambie waambie bestie.

Wanadhani naogopa mtu mi hata jf headquarters nimefika sana tu, melo nimeongea naye sana tu namba zake ninazo pia.


Humu nimedeal na wapumbavu wote na hamna wakunifanya kitu

Kule kwenye jukwaa la siasa ndo usiseme sembuse hii mijinga inayokojolewa ilipe kodi na kulea vitoto vilivyotelekezewa [emoji706][emoji706][emoji706] vinadangia mpaka vizeee.

Hapa ndo center sirudishi mpira kwa kipa ni mbele kwa mbele [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]






Wee Cute Wife acha woga shem

Jamani [emoji12][emoji12][emoji12]
Shem we kiboko
 
Back
Top Bottom