Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaogopa kumkwaa nani??

Ukimkwa mi nipo hapa yente yente [emoji4]

Humu sina adui hata mmoja wote kwangu nawaona vizuri tyu

Sema nisije kuongea kitu mwingine kikamgusa akahisi namsema kumbe mi niko kuongea tyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maana kuna raia zinajistukiaga bila sababu
 
Hio misuliii hioo ankoooo asabtreeeehh!!😍😍

Hakika reo naenda kuraraa usingizi mworoooooroooo kabesaaa!! ( kwa sauti ya kanda maalum☺️!!
Santo sana auntiee mzuri 😘😘 sleep tight.

Hapo nilikuwa nimetoka field choka kinoma. Nikaamua kusnap kidogo.

Sema kuna pisi kali 🤭🤭🤭 ntakusimulia kesho vizuri ulale thatha 🤗🤩😝
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aseee nacheka kama fala hapa.

Ntawaamsha majirani umesema!!!!!

Kuna kibibi kilisema eti kuna naniliii ana umri wa kumzaa mi nilicheka vibaya sana kwani age difference ya 7 years ni kubwa kiasi hiko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Unanivunja mbavu shem aseee
Cheka utanue mapafu ankoli akee jf never boring 🤣🤣🤣🤣!!
 
Wanaofunga pm wapo hivyo [emoji3061][emoji28][emoji28][emoji28]
Hawajiamini

Wanagonganisha ma Subaru

Hawawezi kukataa wakiombwaaa namna ya kujilinda ni hiyo

Mengine ongezeaaa... Yapo masababu mengii.. atae jihisi ni mchawi tuuu kama wachawi wengine.. wadada wali alafu smart PM zao zipo wazo.. Ila [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]... Ouyoooooo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088] eti wanagonganisha nini???

Ongeza sautiiiii
 
Humu sina adui hata mmoja wote kwangu nawaona vizuri tyu

Sema nisije kuongea kitu mwingine kikamgusa akahisi namsema kumbe mi niko kuongea tyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maana kuna raia zinajistukiaga bila sababu
🤣🤣🤣🤣 We sema ilimradi ni UKWELI.

Kwani kuna shida??? Sasa ukiwa muoga nyuma ya keyboard face 2 face itakuwaje sasa.

We sema mtazamo wako upo free hapa.

Na upo na shem wako 😎
 
Wakafe mbelee... Siku akifunga mtoto mzuri mrembo Dr Lizzy ndio nitakubaliana na hoja yakoo... Alafu MTU kufunga PM ni kutojiamini tuuuu 😅😅😅... Kama unajiamini hubabaiki na messages za watu.. ndio maana huwa namkubali Sana cha ukorofi Nuzulati
Kwa nini mtu ufunge pm kwamba mtu atashika mkono wako lazima ujibu chochote huko pm ni kutokujiamini 🤷🏼‍♀️
 
Santo sana auntiee mzuri 😘😘 sleep tight.

Hapo nilikuwa nimetoka field choka kinoma. Nikaamua kusnap kidogo.

Sema kuna pisi kali 🤭🤭🤭 ntakusimulia kesho vizuri ulale thatha 🤗🤩😝
Auweeeeehh!! Eagerly waiting ankoooo !!

Ankalii ushasema mi ninani hata nikupinge lol!!👋👋👋💤💤💤😴😴😴😴💤💤💤💤💤😴💤💤💤💤💤💤😴😴😴😴😴💤💤😴😴😴😴😴😴😴!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We sema ilimradi ni UKWELI.

Kwani kuna shida??? Sasa ukiwa muoga nyuma ya keyboard face 2 face itakuwaje sasa.

We sema mtazamo wako upo free hapa.

Na upo na shem wako [emoji41]

Shem unavimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3]

Nguvu unazo lkn tusije kupigwa hapa wewe ukawa wa kwanza kukimbia
 
Kwa nini mtu ufunge pm kwamba mtu atashika mkono wako lazima ujibu chochote huko pm ni kutokujiamini 🤷🏼‍♀️
✌️✌️✌️✌️ Umemaliza cha ukorofi Nuzulati ...

Na ulivyo mrembo mzuri.. ungekuwa wa Kwanza kufunga PM.. uzuri weyeee akili kubwaaa Mungu.. alafu mashalaaaaaa... mrembo mzuri ... Alafu unajiamini na ukorofiii juuu
 
Back
Top Bottom